Wakulima wa
Tumbaku wa wilaya ya Kahama wamekuwa wa kwanza kufungua milango ya soko la
kuuza tumbaku yao kwenye makampuni huko
mjini Tabora huku wakitarajia kupata zaidi ya shilingi Bilion arobaini kutokana
na mauzo ya zao hilo kwa kilo milioni tisa walizoingia mkataba na Makampuni
yanayonunua Tumbaku nchini.
No comments:
Post a Comment