Sheikh Shariff Mikidadi Matongo leo amekuwa ni mmoja kati ya Makada wa Chama cha Mapinduzi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama chake ili ateuliwe kupeperusha bendera katika kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tabora mjini kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment